1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya kupambana na ukatili wa kijinsia Kenya

Thelma Mwadzaya25 Septemba 2023

Takwimu nchini Kenya zinaashiria kuwa asilimia 34 ya wanawake walio na umri unaoanzia miaka 15 wamepitia dhulma na ukatili wa kijinsia, hali ambayo inatisha. Je jamii katika taifa hilo inapambana vipi na kadhia hiyo? Fahamu mengi zaidi kwenye makala ya Mbiu ya Mnyonge.

https://p.dw.com/p/4Wn3m