1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mafunzo

Karandinga: Bonyeza Kiunganishi

Grace Kabogo
1 Machi 2017

Mitandao ya kijamii imetawaliwa na picha za Zawadi, mwanafunzi kijana wa kike ambaye amekutwa amechomwa kisu kando ya barabara.

https://p.dw.com/p/2YQSu
DW Crime Fighters Serienmotiv „Click on the Link“

Nini kimetokea kwake? Kwa mujibu wa polisi, ulikuwa uhalifu wa kimapenzi unaomfanya mpenzi wake kuwa mtuhumiwa mkuu. Lakini Kendi, rafiki wa karibu wa mtuhumiwa huyo, bado hajashawishika na ameanzisha upelelezi wake mwenyewe. Anaamini kuwa huenda Zawadi alikumbana na tapeli wa mtandaoni. Pamoja na mtaalamu wa masuala ya IT, Tembo, wanagundua siri kuhusu kijana wa kike na shughuli zake mtandaoni. Wanavyouchunguza zaidi ulimwengu wa kidigitali, baadhi ya hatari na fursa ya matumizi ya leo ya intaneti na mitandao ya kijamii zinaanza kujitokeza. Lakini je itawasaidia kupata majibu kusuhu mtu aliyemchoma kisu Zawadi?