1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karibuni inamuaga Bi Oumilkheir

Saumu Mwasimba
7 Februari 2020

Baada ya miaka 42 ya kufanya kazi DW Idhaa ya Kiswahili hatimae Oumilkheir amefikia umri wa kustaafu na kwahivyo ameiaga DW aliyoanza kuifanyia kazi kama mtangazaji ikiwa mjini kolon ikiitwa Sauti ya Ujerumani. Tunamuita Sauti ya Dhahabu. Sikiliza Karibuni ambapo Bi Oumilkheir anawaaga

https://p.dw.com/p/3XMjJ