1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenia: Mahojiano na Najib Balala baada ya kuondolewa katika baraza la mawaziri

28 Machi 2012

Waziri wa zamani wa Utalii nchini Kenya Najib Balala leo amekuwa na mkutano na waandishi habari mjini Nairobi siku mbili baada ya kuondolewa katika baraza la mawaziri.

https://p.dw.com/p/14TIr
Bunge la Kenya
Bunge la KenyaPicha: AP

Siku ya Jumatatu (26.03.2012) ,Rais Mwai Kibaki na Waziri mkuu Raila Odinga walifanya mabadiliko katika baraza la mawaziri, mabadiliko yaliomuondoa Balala katika wadhifa wake kama waziri wa utalii. Amina Abubakar amezungumza na Bwana Balala na kwanza anaelezea kile anachokiona kuwa ni sababu za kupoteza wadhifa wake.

(Kusikiliza mazungumzo hayo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi :Amina Abubakar

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman