1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Ugaidi

Kenya: Mwanafunzi auawa na kutupwa msituni

Iddi Ssessanga
5 Septemba 2018

Timu maalumu ya wachunguzi wa mauaji ya binadamu nchini Kenya imetumwa katika kaunti za Migori na Homa Bay kuchunguza mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu aliekuwa ametekwa nyara pamoja na mwandishi habari wa kampuni ya Nation Media. John Juma alizungumza na Erick Oduor kuhusu sakata hilo.

https://p.dw.com/p/34KUv