1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Chama cha ODM hatarini kusambaratika

12 Julai 2016

Chama kikuu cha upinzani Kenya, Orange Democratic Movement, kiko kwenye hatari ya kugawanyika, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu. Mchambuzi Chacha Nyaigotti azungumzia viongozi wanaokikimbia chama.

https://p.dw.com/p/1JNWV
Raila Odinga, kiongozi wa upinzani Kenya
Picha: Till Muellenmeister/AFP/Getty Images

[No title]