1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Shambulio la Guruneti katika kanisa mjini Nairobi

30 Aprili 2012

Hali ya wasiwasi imerudi tena jijini Nairobi kufuatia shambulio la Guruneti hapo jana katika kanisa moja mjini Ngara ambako watu kadhaa walijeruhiwa.

https://p.dw.com/p/14n09
Kanisa lililoshambuliwa kwa guruneti,Nairobi
Kanisa lililoshambuliwa kwa guruneti, NairobiPicha: Reuters

Mtu mmoja aliuwawa katika tukio hilo.Polisi bado wanaendelea kumsaka mtuhumiwa.Kutoka Nairobi Mwandishi wetu Alfred Kiti ametutumia ripoti ifuatayo juu ya hali ilivyo kwa sasa.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Alfred Kiti

Mhariri AbdulRahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi