1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yawapa tembo majina

11 Oktoba 2021

Je ungetaka tembo kupewa jina lako? Basi Kenya imeanzisha kampeni ya kuwapa ndovu majina lakini kwa malipo. Fedha kutokana na kampeni hiyo zitalenga uhifadhi wa wanyama hao na kuepusha migogoro baina ya wanyama pori na tembo.

https://p.dw.com/p/41XZL