1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kifaru mweupe apata mimba

Sudi Mnette
18 Mei 2018

Kifaru huyo aitwae Victoria amewekewa mimba kwa kutumia mbegu za kubuni zilizoundwa na wanasayasi wa Marekani.

https://p.dw.com/p/2xwUZ