1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilimo cha maua chaathiri Ziwa Naivasha

6 Februari 2018

Kenya ni miongoni mwa nchi zinazoongoza katika kilimo cha maua. Hata hivyo, matumizi ya sumu na maji mengi ya kumwagilia yamekuwa na athari kwa eneo zima la Ziwa Naivasha.

https://p.dw.com/p/2sA2K