1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilimo cha ndizi Babati

7 Agosti 2020

Zao la ndizi ni miongoni mwa mazao ya biashara yanayolimwa sana katika wilaya ya Babati iliyopo mkoani Manyara kaskazini mwa Tanzania. Inaelezwa kwamba soko la ndizi ni kubwa mno kiasi kwamba halijaweza kukidhi hata mahitaji ya ndani ya wateja. Katika kijiji hiki cha Gidabaghar kikundi cha Mshikamano chenye wanachama 25 kimepata mafanikio makubwa tangu kilipoanza kulima zao hili mwaka 2014. 

https://p.dw.com/p/3gd0g