1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio kutokana na mradi wa uchimbaji mafuta Uganda

Lubega Emmanuel29 Novemba 2018

Uchimbaji mafuta unatarajiwa kuanza katika wilaya ya Bolisa kaskazini magharibi mwa Uganda. Hata hivyo wakaazi wanakosoa mchakato unaotumiwa kuwafidia ili waondoke katika makaazi yao ya jadi. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi katika makala ya Makala Mbiu ya Mnyonge.

https://p.dw.com/p/396R5