1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga - Kalonzo Musyoka

3 Aprili 2018

Kiongozi wa Chama cha Wiper Democratic Movement nchini Kenya Kalonzo Musyoka amesema anatazamia vinara wenzake katika muungano wa upinzani nchini humo NASA wamuunge mkono kuwa rais katika uchaguzi wa mwaka 2022. Kalonzo amesema muungano huo bado uko imara licha ya Raila Odinga kudaiwa kuwa amewasaliti wenzake. Sikiliza mahojiano haya ya Kinagaubaga baina ya Sudi Mnette na Kalonzo Musyoka.

https://p.dw.com/p/2vPQA