1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Waliosahauliwa na Mapinduzi ya Zanzibar

Khelef Mohammed9 Januari 2023

Hashil Seif Hashil ambaye kwa sasa anafikia umri wa miaka 80, alikuwa mmoja kati ya vijana walioshika silaha kushiriki Mapinduzi ya Zanzibar mnamo tarehe 12 Januari 1964, lakini jina lake na wenzake si miongoni mwa yanayopewa nafasi katika historia rasmi ya visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi. Katika kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi hayo, Mohammed Khelef anamuuliza ikiwa amesahauliwa!

https://p.dw.com/p/4LtwW