1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipi kilichokwenda kombo Afghanistan?

Josephat Charo
19 Agosti 2021

Baada ya miaka 20 tangu Marekani ilipoingia vitani Afghanistan Taliban wamechukua madaraka na wanajiandaa kuwa na mamlaka makubwa au kamili ya kisiasa, Wanajeshi wa Marekani na wanadiplomasia wa mataifa ya kigeni wako mbioni kuikimbia Afghanistan. Kipi kilichokwenda kombo? Je pana kitisho bara la Afrika likageuka uwanja mpya wa uasi wa wanamgambo? Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni.

https://p.dw.com/p/3zC5Y