1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipi kinafuatia baada ya Israel kuushambulia ubalozi wa Iran

2 Aprili 2024

Israel pia imefanya shambulio la anga dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria na kusababisha vifo vya majenerali wawili wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi wa Iran, sambamba na mashambulizi mengine yaliyolenga makundi yenye mafungamano na Iran. Ahmed Rajab anafafanuwa ujumbe gani unaotumwa na serikali ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwa kushambulia wale wanaoonekana kuwa washirika wa Iran.

https://p.dw.com/p/4eMQx