1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kisa cha msichana aliyeishi na virusi vya HIV bila ya dawa

Sylvia Mwehozi
24 Julai 2017

Rais wa Poland Andrzej Duda ametumia kura ya turufu kupinga miswada 2 iliyolenga kufanya mageuzi idara ya mahakama. Bomu la kwenye gari lawaua watu 24 Kabul na kuwajeruhi 40. Na msichana mmoja aliyezaliwa na virusi vya HIV aishi na virusi hivyo kwa zaidi ya miaka 8 bila ya maambukizi kuongezeka baada ya kuacha kutumia madawa. Papo kwa Papo 24.07.2017

https://p.dw.com/p/2h4Em