1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiswahili Kina Wenyewe

14 Januari 2016

Karibu kwenye safu hii ambayo huwaalika wataalamu wa lugha ya Kiswahili kuchambua masuala mbalimbali kuhusu sarufi, fasihi na matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa lengo la kuihuisha lugha hii adhimu.

https://p.dw.com/p/1BXoa
Moderator Mohammed Khelef - 3. DSC00515 - Mohammed Khelef of DW Kiswahili moderating a radio discussion for Kiswahili program
Picha: DW/M. Khelef

Miongoni mwa masuala muhimu utakayoyakuta humu ni pamoja na chimbuko na asili ya lugha ya Kiswahili, utata baina ya ukuzaji na uharibifu wa lugha, nafasi ya teknolojia ya kisasa kwenye fasihi na uhakiki wa kazi za waandishi wa Kiswahili.