1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kitendawili cha Mbappe na PSG chaendelea

31 Julai 2023

Mchezaji nyota wa Paris Saint Germain Kylian Mbappe, hakumaliza kufanya mazoezi Jumatatu na kuondoka uwanjani mapema huko mjini Paris.

https://p.dw.com/p/4UbG7
Champions League - Paris St Germain v Real Madrid
Picha: Andy Rowland/imago images

Mbappe mwenye umri wa miaka 24 amekataa kufanya mazungumzo ya kuhamia klabu ya Saudi Arabia Al Hilal na PSG sasa inahofia kwamba mchezaji huyo anapanga kumaliza kandarasi yake hapo Parc des Princes ili ajiunge na Real Madrid bila malipo msimu ujao utakapokwisha.

Vyanzo: Reuters/DPAE/AP