1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Klabu ilovuma zamani Orlando Pirates yapoteza makali?

24 Februari 2021

Ilikuwa kati ya vilabu vilivyovuma na kushabikiwa pakubwa barani Afrika. Lakini katika miaka kadhaa iliyopita, klabu hiyo imepoteza sifa zake. Sasa yajitahidi kuinuka tena na tayari mikakati yao imeanza kuwapa ushindi. Vijana Mubashara 77 Asilimia inaangazia ari klabu hiyo kurejea kidedea.

https://p.dw.com/p/3pocu