1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongo yaanza kutumia dawa ya kupambana na Ebola

Grace Kabogo
15 Agosti 2018

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imeanza kutumia dawa ya majaribio ya kutibu ugonjwa wa Ebola inayojulikana kama mAb114.

https://p.dw.com/p/33C0O