1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kundi la WhatsApp la wamama wa Kilifi launda kampuni

Sylvia Mwehozi
20 Machi 2019

Matumizi ya mitandao ya kijamii yanazidi kuongezeka kote Ulimwenguni na kuwa moja wapo ya kiunganisho muhimu kwa mawasiliano miongoni mwa jamii mbali mbali. Inakisiwa kwamba idadi ya wanaotumia mitandao ya kijamii itafikia Watu bilioni 2.7 kufikia mwishoni mwa mwaka huu wa 2019. Eric Ponda amekutana na akina mama wa Kilifi katika makala ya Wanawake na Maendeleo.

https://p.dw.com/p/3FLOc