1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuondolewa kwa magari yaliopo bandarini Mombasa nchini Kenya

11 Septemba 2008

Nchini Kenya serikali imetangaza kwamba takriban magari 700 yataondolewa katika kipindi cha miezi miwili ijayo kwenye bandari ya Mombasa.

https://p.dw.com/p/FGFg
Bandari ya Mombasa nchini KenyaPicha: picture-alliance/ dpa

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mazingira John Michuki kwa sababu ya uhaba wa nafasi kwenye bandari hiyo ya Mombasa.Jumla ya tani milioni 14 ya mizogo husafirishwa kupitia bandari ya Mombasa.Nchi za Uganda,Rwanda,Burundi,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo,kaskazini mwa Tanzania,eneo la Kusini mwa Sudan pamoja na Ethiopia hutumia badhari hiyo kusafirishia mizigo.

Ili kupata picha kamili Thelma Mwadzaya amezungumza na afisa wa uhusiano wa Mamlaka ya Bandari ya Mombasa Bernard Osero.