1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KURUNZI AFYA: Ukosefu wa usalama kazini

Mohammed Khelef
21 Juni 2021

Usalama na afya ya wafanyakazi ni mambo ya lazima miongoni mwa haki za wafanyakazi duniani, lakini hupuuzwa sana na waajiri. Ali Ramadhani ni muhanga wa kupuuziwa huko. Kurunzi Afya 21.06.2021.

https://p.dw.com/p/3vI2E