1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na Peter Kuga Mziray, mgombea urais kwa APPT - Maendeleo

11 Oktoba 2010

Pirika pirika za kampeni za uchaguzi nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu zinaanza kushika kasi, ambapo tayari baadhi ya vyama vimezindua kampeni zake na kuweka hadharani ilani zao za uchaguzi.

https://p.dw.com/p/PCTY

Halima Nyanza alizungumza na mgombea Urais kupitia chama cha APPT - Maendeleo Peter Kuga Mziray, ambaye kwanza anaelezea juu ya mchakato huo wa kampeni za uchaguzi.