1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini inadhaniwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kisomi?

Jacob Safari Bomani/MMT12 Julai 2019

Katika sehemu kubwa ya Afrika Mashariki, lugha ya kiingereza inazingatiwa kuwa ya wasomi na yule aizungumzaye hupewa hadhi na heshima fulani. Makala ya Vijana Mubashara inasaka maoni na fikra zako, iwapo ni kweli kufahamu Kiingereza ni jambo la fahari na busara?

https://p.dw.com/p/3LyoJ