1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maafisa wanane wa tume ya uchaguzi wafurushwa Uganda

Lubega Emmanuel23 Julai 2020

Kufutwa kazi kwa maafisa wanane wa ngazi za juu wa tume ya uchaguzi Uganda kumeibua mjadala mkali miongoni mwa wanasiasa nchini humo, baada ya maafisa hao kushiriki kufanya maandalizi ya uchaguzi mkuu mwaka ujao.

https://p.dw.com/p/3fo1T