1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madagascar yatumai kuweka historia zaidi katika AFCON

John Juma
21 Juni 2019

Baada ya kuweka historia kwa kufuzu kwa mara ya kwanza katika AFCON, Madagascar wanatumaini kuweka historia zaidi kwa kushinda michuano yao nchini Misri.

https://p.dw.com/p/3Kr9b