1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhara ya kusitisha ufadhili kwa UNRWA

Mohammed Khelef
7 Februari 2024

Mara tu baada ya Israel kutoa tuhuma kuwa wafanyakazi 12 wa Shirika la Umoja wa Mataifa kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) walishiriki kwenye mashambulizi ya Hamas ya tarehe 7 Oktoba 2023, mataifa kadhaa ya Magharibi yalitangaza hapo hapo kusitisha ufadhili wao kwa shirika hilo muhimu kabisa kwa maisha ya wakimbizi wa Kipalestina. Mohammed Khelef anachambua athari mbaya za uamuzi huo.

https://p.dw.com/p/4c8RW