1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Magenge ya Uhalifu Pwani yanatia doa sekta ya Utalii

Sylvia Mwehozi
6 Machi 2023

Ukosefu wa ajira na ardhi miongoni mwa vijana katika Pwani ya Kenya zimetajwa kuwa baadhi ya vichocheo vya kujihusisha na makundi ya uhalifu. Makundi hayo yamejeruhi na hata kusababisha umwagikaji wa damu. Katika eneo ambalo, utalii ni chanzo kikuu cha mapato, vijana wanashikilia kuwa wametengwa kwenye nyadhfa za kazi wala hawafaidi mapato hayo. Shisia Wasilwa ndiye msimulizi.

https://p.dw.com/p/3GDgW