1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama yambwaga Lula da Silva

Lilian Mtono
5 Aprili 2018

Mahakama ya juu nchini Brazil imetupilia mbali ombi la rais wa zamani Luiz Inacio Lula da Silva la kucheleweshwa hukumu yake ya miaka 12 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya rushwa.

https://p.dw.com/p/2vXb8