1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Kura ya turufu ya Marekani dhidi ya Wapalestina

John Juma
19 Aprili 2024

Marekani imetumia kura yake ya turufu kuzuia azimio la kuipatia uanachama kamili Mamlaka ya Wapaestina katika Umoja wa Mataifa. Hii inaleta taswira gani katika juhudi za kusuluhisha migogoro ya Palestina na kanda ya Mashariki ya Kati? Mchambuzi wa siasa za kimataifa, Ahmed Rajab, anaeleza mtazamo wake.

https://p.dw.com/p/4eyGK