1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na Profesa Ibrahim Lipumba kuhusu shirika la fedha la kimataifa IMF

2 Machi 2007

Shirika la fedha la kimataifa IMF imetimiza miaka 60 toka kuanzishwa kwake. Nchi nyingi za dunia ya tatu haswa za Afrika zimekuwa zikililaumu shirika hilo kwa sera zake ambazo wanadai zimelitumbukiza nchi hizo kwenye matope zaidi ya uchumi mbaya. Rasi Robert Mugabe wa Zimbabwe pia amelilaumu shirika hilo.

https://p.dw.com/p/CHJ4
Profesa Ibrahim Lipumba,mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CUF
Profesa Ibrahim Lipumba,mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CUFPicha: DW

Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha CUF ni mchumi aliyebobea ambaye amewahi kufanya kazi katika shirika hilo.

Abubakary Liongo alifanya mahojiano na Profesa Lipumba na kwanza alimuuliza vipi Afrika imefaidika na shiriki hili.