1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Wazee na usawa wa kijamii

Sophia Nyevu Chinyezi1 Oktoba 2018

Sophia Chinyezi anazungumza na Mzee Koigi wa Wamwere kutoka Kenya, ambaye kwa miaka mingi amekuwa sio tu mwanasiasa bali pia mwanaharakati mpigania haki za jamii. Anaanza kwa kumuuliza kwa miaka yote aliyojaaliwa kuishi hadi sasa, wazee wamenufaika vipi na suala la usawa katika jamii?

https://p.dw.com/p/35oqt