1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makaburi yaliozikwa watu wengi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo yagunduliwa

14 Septemba 2007

Makaburi ya Jumuiya yamegunduliwa Mashariki mwa Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo.

https://p.dw.com/p/CH8C

Wakati huo huo mapigano mapya yamezuka leo katika eneo hilo.

Mwandishi wetu John Kanyunyu anaripoti kutoka Goma.