1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malaria – Kipindi 2 – Ujinga na ufahamu

16 Machi 2011

Karembo ana furaha ya kumtembelea mama yake hospitali ambako amejifungua mtoto wa kiume. Akiwa nyumbani anafikiri kuwa amefanikiwa kuwashawishi wazazi wake kuweka vyandarua vya kuzuia mbu, lakini kweli amefanikiwa?

https://p.dw.com/p/QolE