1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malkia wa Vikaragosi

Saumu Mwasimba
15 Mei 2018

Senta Siller mwanamke wa maendeleo aliyejitolea maisha yake kuwasaidia wanawake wengine katika jimbo la Punjab nchini Pakistan kujikimu kimaisha kwa kutengeneza midoli.Wanamuita malkia wa vikaragosi.

https://p.dw.com/p/2xlTg