1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mandozi mwanga wa soka wa Tanzania

Sudi Mnette
18 Oktoba 2018

Katika kipindi cha Karibuni (20.10.2018) utamsikia mkufunzi wa mafunzo ya ukocha, Armando Phill, baada ya kupata mafunzo yake mjini Koblenz hapa Ujerumani, siku ya mashujaa ya Kenya na katika safu ya je umeipata hiyo, ipo habari za wanawake walio katika kipindi cha kwenda hedhi kuzuiwa kushiriki ibada nchini India.

https://p.dw.com/p/36lzN