1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni kuhusu Mjadala baina ya Angela Merkel na Frank-Walter Steinmeier

Samia Othman14 Septemba 2009

Kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na Mjadala wa wagombea kiti cha ukansela baina ya Angela Merkel na Frank-Walter Steinmeier.

https://p.dw.com/p/Jf2B
Bibi Angela Merkel pamoja na Frank-Walter Steinmeier upande wake wa kuliaPicha: AP

Zikiwa zimebakia takriban siku 13 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu, wagombea wawili wa kiti cha Ukansela, Angela Merkel wa chama cha CDU na Frank-Walter Steinmeier wa chama cha SPD jana usiku walishindana katika mjadala kwa njia ya televisheni kubainisha nani ana hoja nzito kuliko mwenzake. Hivi punde nimezungumza na Bibi Hannelore Steer, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Radio Berlin, Brandenburg. Grace Kabogo alianza kwa kumuuliza mtazamo wake kuhusu wagombea hao baada ya kuuangalia mjadala huo jana usiku.