1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Maafa na vurugu Afrika Kusini baada ya Zuma kufungwa

Saumu Yusuf16 Julai 2021

Kipindi cha Maoni kinaangazia hali nchini Afrika Kusini baada ya rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani. Maandamano yaliyofuata, uporaji, uharibifu wa mali na hata zaidi ya watu 100 kuuawa. Upi mustakabali wa taifa hilo?

https://p.dw.com/p/3waPe