1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Mustakhbali wa shirika la kimataifa la biashara WTO

Josephat Charo
2 Machi 2024

Mawaziri kutoka nchi mbalimbali za dunia wamekutana katika mkutano wa shirika la kimataifa la biashara WTO huko Abu Dhabi kati ya Februari 26 na 29, kujaribu kuweka sheria mpya kwa biashara ya kimataifa na kuufanyia mageuzi mfumo wake wa usuluhishi wa migogoro na kupunguza ruzuku za uvuvi. Katika kipindi cha Maoni Josephat Charo anaangalia mchakato wa mageuzi na mustakhbali wa WTO.

https://p.dw.com/p/4d6CY