1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonyesho ya CEBIT 2007 Hannover,Ujerumani

15 Machi 2007

Maonyeshi makubwa kabisa duniani ya teknolojia, maarufu kama Cebit, yalizinduliwa jana jioni mjini Hannover na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel.

https://p.dw.com/p/CB5F
Kansela Angela Merkel akifungua maonyesho ya CEBIT mjini Hannover
Kansela Angela Merkel akifungua maonyesho ya CEBIT mjini HannoverPicha: AP
Mwenzetu Abubakar Liongo yuko huko kuyashudia na katuletea ripoti.