1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonyesho ya Teknolojia mjini Hannover,Ujerumani

22 Aprili 2008

Maonesho ya teknolojia ya mitambo na ubunifu yaitwayo Hannover yanaendelea huko katika mji wa Hannover hapa Ujerumani.

https://p.dw.com/p/Dmqb
Kansela Angela Merkel akifungua maonyesho ya Teknolojia mjini HannoverPicha: picture-alliance / dpa

Makampuni kutoka mataifa makubwa kabisa kiviwanda duniani yanashiriki katika maonesho hayo, yanayodhihirisha safari ndefu iliyonayo afrika katika dunia ya sayansi na teknolojia.

Hii ni kutokana na kutokuwepo kwa wadau wa sekta za kiviwanda na kiufundi kutoka afrika katika maonesho hayo.

Kutoka Huko Hannover Aboubakary Liongo anayeudhuria maonesho hayo ametutumia taarifa ifuatayo