1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashindano ya mbwa Singapore

5 Februari 2018

Raia wa China na watu wenye asili ya China duniani wanajiandaa kuadhimisha mwaka mpya, ambao kwa mujibu wa kalenda yao, utakuwa "Mwaka wa Mbwa". Hivyo wakazi wa mtaa wa Kichina nchini Singapore wamefanya mashindano ya mbwa.

https://p.dw.com/p/2s8zV