1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 19.10.2019

TSA / S08S19 Oktoba 2019

Mkimbizi wa kike kutoka Sudan Kusini amefanikiwa kutoroka mjini Cairo alikokuwa akishikiliwa kwa miezi mitatu ambako alikuwa kudhalilishwa kingono, Hali ya wasiwasi yaendelea Sudan, kutokana na mvutano wa umiliki wa ardhi ikiwa ni zaidi ya miaka 15 tangu kutokea machafuko ya Darfur , Tamasha la saba la filamu la shirika la kutetea haki za binadamu, Human Rights Watch lakamilika Nairobi,

https://p.dw.com/p/3RYQz