1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi: 24.10.2020

Zainab Aziz
24 Oktoba 2020

Uchaguzi wakaribia nchini Tanzania. Wagombea wamo katikakampeni za kutafuta uungwaji mkono. Sudan imekuwa nchi ya tatu ya kiarabu kukubali kusawazisha uhusiano wake na Israel. Athari za janga la virusi vya corona zapewa kipaumbele katika mikutano mbalimbali ya kimataifa ya mwaka huu wa 2020.

https://p.dw.com/p/3kNQ1