1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 30.09.2016

Sylvia Mwehozi
30 Septemba 2016

Tuliyo nayo; Urusi yashinikizwa na Marekani kukomesha mashambulizi ya anga mjini Aleppo ili kuruhusu usambazaji wa misaada ya kiutu. Rais wa Ujerumani Joachim Gauck ameitembelea Ukraine na kutoa heshima kwa waathirika wa mauaji ya kinazi katika kumbukumbu ya miaka 75 tangu kutokea kwake. Zaidi ya watu 100 wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea katika jimbo la New Jersey nchini Marekani.

https://p.dw.com/p/2Qko0