1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 06.60.2020

Amina Mjahid
6 Juni 2020

Dunia yaandamana kupinga mauaji ya George Floyd mmarekani mweusi aliyeuwawa na askari mweupe mjini Minneapolis Marekani, rais wa Misri Abdel-Fattah al-Sissi atangaza mpango wa kumaliza mgogoro wa Libya na Washirika wa Kansela wa Ujerumani Angela Merkel waukosoa uamuzi wa Trump wakupunguza wanajeshi wake Ujerumani

https://p.dw.com/p/3dLxJ