1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 15.06.2019

Saumu Mwasimba
15 Juni 2019

Baadhi ya taarifa zetu: Maafisa kadhaa wa polisi wa Kenya wauwawa katika mripuko wa bomu la kutegwa kando ya barabara katika mpaka kati ya Kenya na Somalia,Viongozi wa maandamano ya HongKong wasema wataendelea kuandamana jumapili mpaka sheria kuhusu wahalifu ifutwe kabisa

https://p.dw.com/p/3KWnw
Kenia Attentat in Garissa
Picha: picture-alliance/AP Photo