1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 15.10.2021

SK2 / S02S14 Oktoba 2021

Tanzania: Siku ya kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa taifa Mwalimu Julius Nyerere/ Kenya: Mahakama Kuu yazuia kwa muda mchakato wa kutoa vitambulisho vya kidijitali maarufu kama kadi za Huduma/ Burundi imepokea kwa mara ya kwanza leo shehena ya dawa za chanjo dhidi ya virusi vya corona/ Uganda: Walimu walaani agizo la rais/ Marekani na Israel zinatafuta mpango mbadala wa kukabiliana na Iran

https://p.dw.com/p/41hAi